Hii imetokea katika Maegesho ya WHO Dar Es Salaam!! Lunch Box

Utashi wa mtu siku hizi umebakia kwa mtu mwenyewe, siku hizi utu wa mtu hauna thamani tena.

Hii si hadithi, ni vitu vya kweli vinatokea maeneo mengi tu siku hizi.
 
vya fasta fasta vitamu hasikwambie mtu,mnajiona wajanja kweli mkimaliza show,mnaweza kurudia again n again
 
vya fasta fasta vitamu hasikwambie mtu,mnajiona wajanja kweli mkimaliza show,mnaweza kurudia again n again
 
Huyo atakuwa mke wa mtu, katoka fasta kwa jamaa apige cha mchna jioni jamaa(mume) anapewa makombo, haya yapo sana nenda pale mlimani city, ukiona noah iko tinted ujue lazima kuna aidha student au mke wa mtu atakuwa anapewa kitu, binadamu ni zaidi ya wanyama sishangai kwani hata shetani mwenyewe kamuambia Mungu dhambi nyingine mi sijawafundisha hawa binadamu.
 
Naweza kuamini hii habari, maana nakumbuka kilpindi nasma pale Azania Sekondari, kulikuwa na michezo kama hiyo ilikuwa inafanyika na tulikuwa tunakula chabo karibia kila tukio likitokea, maana pale Azania" kulikua kuna Hostel za wasichana wa Zanaki, basi ikifika saa 12 jioni kuna gari zilikua nje ya Ukuta wa Azania karibia na Kontena la dada Muuza Soda, basi jamaa akija na gari baada ya dakika 10, binti alikua anakuja anaingia kwenye gari ya jamaa, anaweza kaa hata dakika 20, analiwa mambo na gari inatikisika tu halafu ilikua full tinted, basi mchezo unaendelea baada ya muda binti tena Mwanafunzi anatoka macho yamekua mekundu na gari inatimua zake na binti keshaliwa....
Ama kweli huu ni uchafu tena watu walikua wanafnya hadharani na mwenye akili ya haraka ilikua ni rahisi kugundua, na enzi hizo za uanafunzi na akili za kitoto lazima habari iwe imesambaa na tulikua tunaiweka mpaka kwenye gazeti letu la Shule juu ya Notice Board
 

....kiu ya nanihii haipewi soda wala uji.... Huenda alikuwa ni mumewe bana 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…