Hii imewahi kukutokea?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Umempenda demu! Umemtokea ! Kakupa Big YES, Unapiga naye romance za kufa mtu! bila ya kufanya tendo la ndoa unampeleka au unaagana naye anaenda zake, kwa kukuahidi kesho ndiyo mpambano wa gemu la ukweli la kuunganisha viungo vya uz*zi! Mzee mzima huna pingamizi ila mie huwa najisikia maumivu sana kwenye korodani na hukaa muda mrefu kuesha na pengine mpaka unaenda lala maumivu bado yapo!! hii ni kawaida ama kunakuwa na kasoro hapo!!!???????
 
Hiyo ni kawaida chuma kinapokaa hewani kwa muda mrefu. Nakumbuka wakati tunasoma sekondari tulikuwa tunaenda kuangalia picha za X usiku na hali hiyo inatokea, kurudi skuli ilikuwa mateso!
 
Oa haraka sana hayo ni matatizo ya mabachera
 
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 

Huyu ni tofauti na yule unayeonana naye mara 4 au 5 kwa mwezi??

Acha zinaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…