Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Umempenda demu! Umemtokea ! Kakupa Big YES, Unapiga naye romance za kufa mtu! bila ya kufanya tendo la ndoa unampeleka au unaagana naye anaenda zake, kwa kukuahidi kesho ndiyo mpambano wa gemu la ukweli la kuunganisha viungo vya uz*zi! Mzee mzima huna pingamizi ila mie huwa najisikia maumivu sana kwenye korodani na hukaa muda mrefu kuesha na pengine mpaka unaenda lala maumivu bado yapo!! hii ni kawaida ama kunakuwa na kasoro hapo!!!???????