mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Msimamo wa Putin unafahamika: Msamaha unawezekana ila si kwa MSALITI!! Hii sura huenda isionekane tena baada ya Special military operation in ukraine!
Msaliti ni mtu aliyeaminiwa, aliyetendewa wema, kisha hugeuka na kutoa shukrani ya punda!! Kwa PUTIN mtu wa jinsi hiyo huwa hasamehewi na yeye anajua hivyo!
Msaliti ni mtu aliyeaminiwa, aliyetendewa wema, kisha hugeuka na kutoa shukrani ya punda!! Kwa PUTIN mtu wa jinsi hiyo huwa hasamehewi na yeye anajua hivyo!