Pre GE2025 Hii imewezekanaje? Mwalimu aonekana anawafundisha Wanafunzi itikadi za chama

Pre GE2025 Hii imewezekanaje? Mwalimu aonekana anawafundisha Wanafunzi itikadi za chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa

Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi kizazi kitakachokuja kuwa hovyo kuzidi sisi ni hiki na kingine kitakachokuja nyuma ya hiki.

 
Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa

Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi kizazi kitakachokuja kuwa hovyo kuzidi sisi ni hiki na kingine kitakachokuja nyuma ya hiki
Aisee
 
Gharama ya kupiga plasta vyumba viwili (master na single) ndani na nje, pamoja na zege kwenye sakafu, itategemea mambo mbalimbali kama ukubwa wa vyumba, bei ya vifaa, na gharama za ufundi.
 
Usihofu sana mkuu. Wengi wetu tuliokimbia mchakamchaka tuliimba nyimbo za kuisifu serikali na chama....tukifanya ngonjera na majigambo ya kukisifia chama na kumdiss nduli Idi Amin. Lakini Leo hii wala hatusapoti mambo ya chama hicho.
 
Back
Top Bottom