Hii inakuaje...Hapa Mjini Jirani Mrembo anakuja kwako zaidi ya mara mbili anakuuliza kama una Mchi/Mtwangio?

 
 
Umebaki muda mfupi sana kuwa chizi wa barabaran kwa sasa ni chizi wa mtandaoni
 
Hivi si nimesikia vyuo vimeishaanza kufunguliwa, ni bora waanze module hawa madogo na waanze test maana duuuh
 
Ha ha ha ha haaa
 
Sasa wewe ndo mpumbavu. Maana mpumbavu ni mtu ambaye anafanya jambo ambalo ni la kipumbavu. Kama hujalazimishwa kusoma na kuchangia kwa nini usitulize makalio yako mama?sisi miaka yetu wanawake wa aina yako hawakiwepo kabisa. Walikuwa na heshima lakin nyie wa siku hizi manungayembe mna shida sana

Halafu huyu anatukana watu sana huyu jamaa kwa wanao mchana kwa topic zake za kipumbavu
 
Mna stress za maisha acha sisi tuna enjoy... Vyuma vimewakaza sana nini? Kuna majukwaa mengi sana nenda huko si lazima upitishe vimakalio vyako kwa wanaume wakiwa wame relax

Huyu jamaa sijui akili ndo imejaa haya mambo au nini mana kila siku mada za aina hiyo hiyo
 
Kuna wachangiaji kama magasho... Kuna majukwaa mengi sana nendeni huko hamlazimishwi kuja anga za wenyewe.sisi wengine tunafurahishwa na threads au stories kama hizi.kama unataka vitu serious nenda majukwaa hayo siyo mnakuja kujambajamba mbele za watu huku GuDume wewe endelea na threads uzipendazo... Tunakusoma gudume
 
Spoon feeding wa kukatwa makofi ya ndugu.Idd shukuru athuman amin mwantofe dada
Nenda kawfomde huyo demu...uone kama a
 
Huwa nawaambia humu ndani kuna Mashoga wengi sana. Utawaona jinsi wanavyojitanabaisha.watu hawajalazimishwa kusoma wala ku comment. Kila mtu ana uhuru wa kupenda anachopenda stress zenu mkileta humu mtakutana na wanaume wenye ugwadu halaf mje kuwatandikia jamvi
 
We jamaa ni kati ya watu wanaotunga story za uongo kila siku, unapata faida gani sasa?
 
Sipendi wadada wa Tz kwa sababu hizi,,,ukija Uganda,ladies are social and open,,they don't pretend ,,matter of fact ulishakaa na wenye familia ukaona vituko vyao,,
Endelea kutuchukia na utanzania wetu...life is not that long to love/hate each other
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…