Hii inakuaje...Hapa Mjini Jirani Mrembo anakuja kwako zaidi ya mara mbili anakuuliza kama una Mchi/Mtwangio?

Nmeshangaa sana kwa huyu dada mrembo ambaye anakaa kwenye apartment za hapa karibu nami. Si za mwanzao tulionana tulikuwa tunafanya jogging kishkaji tu. Akanisalimia nami nikamjibu kwa pozi za ki jentroman maana alivaa track suit mwili wake tipwa tipwa ulikuwa umechoreka hasa.

Basi tukawa smetme tunaonana asub tunapoenda kazini na weekend pia mara chache sana.siku moja nkasikia alarm getini nikaenda kutaka kujua ni nani. Nikamkuta amevaa kaptula nyepes sana nlishtuka sana maana allahamdulilah mtoto ana mwili wake.

Akaniuliza eti nina mchi?anataka amejisikia hamu ya kisamvu anataka kutwanga. Nikamwambia hapana mi huwa sina vitu vya kutwanga.akashangaa akacheka nakosaje mchi wakat vya kutwanga ving tu. Basi tukabadilishana mawazo akaaga.

Siku nyingne tena akaja akanambia anataka mchi anataka kutwanga viungo anataka pika sijui chakula gani.nikamwambia sina.akasema " na wewe sasa ununue Mchi mi nina kinu... ili tuwe tunasaidiana maana na wewe hujaoa...." Nikamwambia sawa. Akanambia "promise utanunua" nikamwambia i promise.

Leo asubuh hii kaja kunipitia twende jogging tumekimbia kimbia kishkaj tumerudi akanambia ataniandalia breakfast ila pia nikumbuke ahadi ya kumpatia mtwangio.

Wadau mi hata sijui hivyo vitu vinauzwa wapi. Sikuwah kuwaza kama ntahitaj kuwa na kitu cha kutwanga.na huyu dada why aone tu mi ndo wa kumpatia mtwangio?nikimwambia asage na blender anasema hatak anataka mchi na mimi ndo nikatwange.

Sasa jaman mjini hapa hayo mambo ya kutwanga wapi na wapi?tulishawekewa blender na wazungu kurahisisha yeye anataka tu mtwangio wangu.nawaza hapa nafanyaje nimpatie hitaj lake maana anaweza ona kama si keep promise.

Ananambia akinitizamana anapata picha kama nitatwanga vizuri mpaka vitu vyake vilainike hasa.

Wadada mnapenda kuomba vitu ambavyo ni weird sana. Mjini hapa dar haya maisha yetu unang'ang'ania mtwangio toka kwa bachelor?nawaza au ni njia tu ya kuwa anaongea ongea na mimi baada ya kuona ni mpole sana?

Nikakumbuka mimi kipindi flan nliwah mng'ang'ania dada mmoja anipatie kitumbua. Nlimkuta ameshika kitumbua anakula.basi nikawa nmependa nikamwambia anipatie kitumbua chake akanipa kidogo.nikamwambia anakitumbua kitamu sana.alicheka akaniuliza nimejuaje.nikashangaa ananiona nmekula na anauliza nmejuaje kama ana kitumbua kitamu.basi nikamwambia tu" nmeona kilivyo"

Basi akanambia siku moja ntakupa halaf unambie.basi nikawa namsumbua kila mara "Fatma ahadi yako ya kitumbua" akawa anacheka sana "we mkaka hutaniwi heeehh king'ang'anizi kama ruba" nami nikashikiria hapo hapo mpaka siku alipokuja home kuniletea kitumbua chake kilikuwa kimepikwa vizuri kina ng'aa kimevimba. Aisee.... Mi sihami Mjini. Hata nchi ihamishiwe Dodoma mi ntabak dar maeneo yangu ya Kijitonyama, kinondoni na Mwenge.siendi Mbali sana na Jiji.
 
Umebaki muda mfupi sana kuwa chizi wa barabaran kwa sasa ni chizi wa mtandaoni
 
Hivi si nimesikia vyuo vimeishaanza kufunguliwa, ni bora waanze module hawa madogo na waanze test maana duuuh
 
Ha ha ha ha haaa
 
Sasa wewe ndo mpumbavu. Maana mpumbavu ni mtu ambaye anafanya jambo ambalo ni la kipumbavu. Kama hujalazimishwa kusoma na kuchangia kwa nini usitulize makalio yako mama?sisi miaka yetu wanawake wa aina yako hawakiwepo kabisa. Walikuwa na heshima lakin nyie wa siku hizi manungayembe mna shida sana

Halafu huyu anatukana watu sana huyu jamaa kwa wanao mchana kwa topic zake za kipumbavu
 
Mna stress za maisha acha sisi tuna enjoy... Vyuma vimewakaza sana nini? Kuna majukwaa mengi sana nenda huko si lazima upitishe vimakalio vyako kwa wanaume wakiwa wame relax

Huyu jamaa sijui akili ndo imejaa haya mambo au nini mana kila siku mada za aina hiyo hiyo
 
Kuna wachangiaji kama magasho... Kuna majukwaa mengi sana nendeni huko hamlazimishwi kuja anga za wenyewe.sisi wengine tunafurahishwa na threads au stories kama hizi.kama unataka vitu serious nenda majukwaa hayo siyo mnakuja kujambajamba mbele za watu huku GuDume wewe endelea na threads uzipendazo... Tunakusoma gudume
 
Spoon feeding wa kukatwa makofi ya ndugu.Idd shukuru athuman amin mwantofe dada
Nenda kawfomde huyo demu...uone kama a
 
Huwa nawaambia humu ndani kuna Mashoga wengi sana. Utawaona jinsi wanavyojitanabaisha.watu hawajalazimishwa kusoma wala ku comment. Kila mtu ana uhuru wa kupenda anachopenda stress zenu mkileta humu mtakutana na wanaume wenye ugwadu halaf mje kuwatandikia jamvi
 
We jamaa ni kati ya watu wanaotunga story za uongo kila siku, unapata faida gani sasa?
 
Sipendi wadada wa Tz kwa sababu hizi,,,ukija Uganda,ladies are social and open,,they don't pretend ,,matter of fact ulishakaa na wenye familia ukaona vituko vyao,,
Endelea kutuchukia na utanzania wetu...life is not that long to love/hate each other
 
Back
Top Bottom