Aisee jamani inafikia hatua mwanadamu anauzwa kama kama nguo kwenye Gulio? Kuna msemo mmoja sisi wazaramo tunausema cheza ka ncheza yaani sio poa mwenye power ndio atavuna mpaka nimekata tamaa sasa
Kuna theory moja inaitwa struggle for fittest yaani mwenye power ndio atapata asie na nguvu imekula kwake hiyo the same to me mimi na uzaramo wangu nikaremba mwandiko eti nitoe 800000 aisee hii ilikuwa kosa Kuna lisukuma limoja likatoa ng'ombe 50 aisee! game likaisha mwenye nguvu likanyanyua mke mie nikapigwa chini
Ifike hatua ndugu zangu wasukuma msipende kuwachagulia watoto wenu wanaume wa kuwaoa mnawakosesha haki zao za msingi msiwaozeshe watoto wenu eti kisa mali tu!