ngori_kiza
Senior Member
- Sep 27, 2022
- 147
- 187
Hivi matokeo ya darasa la saba bado hayajatoka watu mpungue humu?Maa'ke mi sielewi hapa, nachojua mkiishangilia Mbeya City mtakuwa mnaiogopa Yanga na mkiishangilia Yanga mtakuwa mnaiomba Yanga iwalipie kisasi kwa Mbeya City.
SaMakolo hii ni ya kwenu, Leo mtaishangilia Yanga au Mbeya City..!?
Maa'ke mi sielewi hapa, nachojua mkiishangilia Mbeya City mtakuwa mnaiogopa Yanga na mkiishangilia Yanga mtakuwa mnaiomba Yanga iwalipie kisasi kwa Mbeya City.
Kazi kwenu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahahaha,ndo maana mayele akashangilia vile?Kisasi kimeishalipwa
Sa
Dog vipUkijibiwa niite Dog