Hii inawahusu Makolo

Hii inawahusu Makolo

ngori_kiza

Senior Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
147
Reaction score
187
Makolo hii ni ya kwenu, Leo mtaishangilia Yanga au Mbeya City..!?

Maa'ke mi sielewi hapa, nachojua mkiishangilia Mbeya City mtakuwa mnaiogopa Yanga na mkiishangilia Yanga mtakuwa mnaiomba Yanga iwalipie kisasi kwa Mbeya City.

Kazi kwenu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi matokeo ya darasa la saba bado hayajatoka watu mpungue humu?
 
Kisasi kimeishalipwa
Makolo hii ni ya kwenu, Leo mtaishangilia Yanga au Mbeya City..!?

Maa'ke mi sielewi hapa, nachojua mkiishangilia Mbeya City mtakuwa mnaiogopa Yanga na mkiishangilia Yanga mtakuwa mnaiomba Yanga iwalipie kisasi kwa Mbeya City.

Kazi kwenu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sa
 
Back
Top Bottom