Hii inawahusu slay queens

atlas copco

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
8,497
Reaction score
9,728
Your browser is not able to display this video.

Jaman dada zangu hasa maslay qeen mnapoenda kwenye majumba ya starehe jitahidin muwe hata na hela za kianzio wakati mnavizia madanga yajichanganye, hakika nimewaonea huruma sana hawa wakina dada
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ndio zao hizo kuna mambo nilikutana nayo badoo tukaenda makumbusho bar pale Igoma imekuja na nyomi ya rafiki nikawapimia wakaagiza baadae nikamwita muhudumu nikalipia vinywaji vyangu na kusepa... Alinitumbulia mimacho kweli nikamwambia nasepa sijakuita uniletee kijiji
 
Hao hapo jinsi wanavyotumbua mimacho mpaka unawaonea huruma[emoji23][emoji23]
 
Ni lazima wasichana wajitegemee?au walindwe na Kaka zao na wapenzi wao?..
 
Igoma ndio wapi mkuu?
 
Sasa hao si ni watoto wamefikisha hata 20 years kweli. Dah sijui wana njaa πŸ˜” Africa yetu hii watoto wanajilea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…