Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

Hii namba 7 hii..hataaaa! lazma iwe inatoka kwa a woman with modern female perspective!
 
We nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege
Raha ya mwanaume anukie kama beberu wewe acha ujinga.
 
Wana Dar es Salaam
tapatalk_1512907357030.jpeg
 
We nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege
Kasema zaidi ya mara tatu kwa siku
 
Umesahau na hii mtoa mada " mwanaume kuweka I'd ya kike kwenye social media " [emoji23]
 
1. _*Mwanaume unaandika*_ *_text/unajibu "k, pw, thx" au unaandika "jomooni, jamoni"_*
*_Happy women's day to you!_*

2. _Mwanaume unapiga selfie umeng'ata lips!_
_Happy women's day to you!_

3. *_Mwanaume unaangalia Nirvana, wanawake live,_* *_telemundo na shilawadu.._*
*_Wewe pia tukutakie Happy_* *_women's day to you!_*

4. _Mwanaume unaoga oga sana kama Dada zako( Mara 3 na +) kwa siku,au unakaa bafuni nusu saa!_
_Happy women's day to you!_

5. *_Mwanaume unajichubua, una dressing table kabisa.. Unajua macream yote ya kimama mama.._*
*_Wewe ni jipu!_*
*_Happy women's day to you!_*

6. _Mwanaume unachat na msela afu unamwita "wangu/my"_
_Tabia za kishogalizing hizi.._
_Happy women's day to you!_

7. *_Mwanaume unagombania siti kwenye daladala halafu mwanamke amesimama,_*
*_Aisee biggest Happy women's day to you!_*

8. _Mwanaume unaogopa mende, panya, Giza, au kulala mwenyewe!_
_Happy women's day to you!_

9. *_Mwanaume hubet, haushabikii soka, wala mieleka, wala ngumi, Hata ukipishana na tetemeko la ardhi hugeuki!_*
*_Wewe ni mwanaume hewa!_* happy woman's day

10. _Mwanaume uko too submissive kwa mkeo.. Yaan_ _mke ndio anakuamulia cha kufanya..umeshikiwa akili!_
_Unalelewa!_
_Happy women's day to you!_
Hahahahahahah...... wamekuelewa vizuri kabisa na wanashukuru kwa kuwatakia heri ya siku ya wanawake
 
Hayo yote kumi si kitu mbele ya mwanaume mashine.
 
Sasa je...kukuangalia kote kule ukajifanya uko bussy na simu yako..na una bahati nilitaka nikukanyage kwa makusudi
Jamani... Kwa uzuri wako tu ulivyo mrembo nikashindwa hata kusimama mwenzio.... Hizi mwendo kasi siyo nzuri mapigo ya moyo lazima yaende kasi. [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom