Vipi kuhusu mukulu na mwanae? Hawa wapenzi wazuri sana wa shilawadu mpaka mwanae akiiba flashSamahani, nmeitoa kwa wenzio ILALA BOMA
Raha ya mwanaume anukie kama beberu wewe acha ujinga.We nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege
Kasema zaidi ya mara tatu kwa sikuWe nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege
Umekuja kunitangazia huku nilivyokataa kukupisha kwenye mwendo wa kasi.... [emoji23]Namba7
Hahahahahahah...... wamekuelewa vizuri kabisa na wanashukuru kwa kuwatakia heri ya siku ya wanawake1. _*Mwanaume unaandika*_ *_text/unajibu "k, pw, thx" au unaandika "jomooni, jamoni"_*
*_Happy women's day to you!_*
2. _Mwanaume unapiga selfie umeng'ata lips!_
_Happy women's day to you!_
3. *_Mwanaume unaangalia Nirvana, wanawake live,_* *_telemundo na shilawadu.._*
*_Wewe pia tukutakie Happy_* *_women's day to you!_*
4. _Mwanaume unaoga oga sana kama Dada zako( Mara 3 na +) kwa siku,au unakaa bafuni nusu saa!_
_Happy women's day to you!_
5. *_Mwanaume unajichubua, una dressing table kabisa.. Unajua macream yote ya kimama mama.._*
*_Wewe ni jipu!_*
*_Happy women's day to you!_*
6. _Mwanaume unachat na msela afu unamwita "wangu/my"_
_Tabia za kishogalizing hizi.._
_Happy women's day to you!_
7. *_Mwanaume unagombania siti kwenye daladala halafu mwanamke amesimama,_*
*_Aisee biggest Happy women's day to you!_*
8. _Mwanaume unaogopa mende, panya, Giza, au kulala mwenyewe!_
_Happy women's day to you!_
9. *_Mwanaume hubet, haushabikii soka, wala mieleka, wala ngumi, Hata ukipishana na tetemeko la ardhi hugeuki!_*
*_Wewe ni mwanaume hewa!_* happy woman's day
10. _Mwanaume uko too submissive kwa mkeo.. Yaan_ _mke ndio anakuamulia cha kufanya..umeshikiwa akili!_
_Unalelewa!_
_Happy women's day to you!_
Sasa je...kukuangalia kote kule ukajifanya uko bussy na simu yako..na una bahati nilitaka nikukanyage kwa makusudiUmekuja kunitangazia huku nilivyokataa kukupisha kwenye mwendo wa kasi.... [emoji23]
Huyu mwanamke au mwanamumeWana Dar es Salaam View attachment 742007
Jamani... Kwa uzuri wako tu ulivyo mrembo nikashindwa hata kusimama mwenzio.... Hizi mwendo kasi siyo nzuri mapigo ya moyo lazima yaende kasi. [emoji23] [emoji23]Sasa je...kukuangalia kote kule ukajifanya uko bussy na simu yako..na una bahati nilitaka nikukanyage kwa makusudi
[emoji23][emoji23] poleJamani... Kwa uzuri wako tu ulivyo mrembo nikashindwa hata kusimama mwenzio.... Hizi mwendo kasi siyo nzuri mapigo ya moyo lazima yaende kasi. [emoji23] [emoji23]
Mbona we umeweka dawa na bleach....[emoji23]Mwanaume unaweka dawa kwenye nywele hizo ni tabia
za kike
Leo tukutane kwenye pantoni tukavue samaki... [emoji23][emoji23][emoji23] pole
[emoji23][emoji23] naogopa panton..alafu nina aleji na shombo la samakiLeo tukutane kwenye pantoni tukavue samaki... [emoji23]