Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
/muite sikudhani mkuu au jaribiaJina nitamwita mimi
Hongera ba kijacho....
mwenzako kapanic hapo, mnaompa hongera hata hawaelewi🙂
alifanya kwa raha zake he he he
ahhahahahaahah, aiseee. miongoni mwa vitu vibaya ni kuwa mzazi mtarajiwa tena bila kupanga na mbaya zaid iwe na mwenza usiyemtegemea
Kwa hiyo umekubali kuwa mimba umempa wewe au asante kwa lipi?asanteni wanajf
Huwa naziamini kondomu pekee,viwanja haviaminiki lakini watu wanacheza peku bila tahadhari...Hongera mkuu umekuwa sasa...
siku hiyo alikuwa anakata tu kiuno anajifanya Falli Ipupa
nitampelekea kitanda cha mtoto mie