Hii inawezekanaje?

Hii inawezekanaje?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Tunaambiwa tukiwa angani haturuhusiwi kufungua vioo. Ila hawa jamaa wa mbele wanafungua bila shida.
20180426_014231.jpg
 
Very simple, yaani hapo alikua anamwambia pilot aliekua mbele yale kwamba.... Ampishe kwasababu ameziba njia... tehteehhh
 
mkuu ndege ya somalia jamaa alijilipua akatokea yeye dirishani, ndege ilikiwa juu lkn walitua salama nikajifunza kitu.
1743.jpg

hapo ni sawa nankusafiri mlango wazi.
 
Hiyo ni photoshop...

Kwa hali ya hewa ilivyokua angani huyo jamaa sura ingepauka na kua kavu...

Kwa jinsi ndege inavyakata upepo nywele zingekua hazifai, domo lingelegea na kutepeta meno yote nje asingeweza kufunga mdomo wala kupumua vizuri...

Angechomoka dirishani... kwa sababu ni kioo cha mbele ndege kwa ujumla isingebaki salama...

Cc: mahondaw
 
That's my jiniaz woouw!!
 
Back
Top Bottom