Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Hii inawezekanaje nilipeleka maombi ya kazi taasisi fulani leo napigiwa simu kutoka hiyo ofisi baada ya habari naulizwa
“wewe ni mzazi wa mwanafunzi fulani”
Kuna mtu kanipiga ndagu nini nikiSubmitt maombi documents zangu zinageuka faili za mzazi(jokes).
“wewe ni mzazi wa mwanafunzi fulani”
Kuna mtu kanipiga ndagu nini nikiSubmitt maombi documents zangu zinageuka faili za mzazi(jokes).