KABIDO Member Joined Oct 26, 2015 Posts 74 Reaction score 117 Mar 15, 2017 #1 Mtu unamueleza shida unazopitia katika maisha na yeye anakuambia za kwangu ni zaidi yako utadhani ni mashindano ya shida....
Mtu unamueleza shida unazopitia katika maisha na yeye anakuambia za kwangu ni zaidi yako utadhani ni mashindano ya shida....
iddy eba JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 573 Reaction score 1,171 Mar 15, 2017 #2 Hahaha, dah
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Mar 15, 2017 #3 Ulitaka kumkopa weweee!!!