Hii ipo kweli hebu tazama

Hii ipo kweli hebu tazama

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Nimezunguka mitaa ya fb kuna kitu imenishangaza sana baada ya kuona tangazo na mfano wake.
Nikaseme sio hiyana ngoja niulize wana wote wenye ujuzi wa hii mambo.

Swali la mwisho kwa wale wa chumvini mna avoid vipi hii maneno.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Screenshot_20190517-140102.jpeg
 
Pid ni magonjwa ya zinaa yanayoambikizwa kwa kufanya ngono
 
Hivi vitu hawakutani navyo unless huyo dada anakua hajajisafisha vizur
 
Huo uchafu umeutoa wapi, sijawahi uona,labda maradhi
 
Ila nyapu inamisuko suko mingi sana....Yanii basii tuu
 
Nimezunguka mitaa ya fb kuna kitu imenishangaza sana baada ya kuona tangazo na mfano wake.
Nikaseme sio hiyana ngoja niulize wana wote wenye ujuzi wa hii mambo.

Swali la mwisho kwa wale wa chumvini mna avoid vipi hii maneno.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]View attachment 1100355
Huu uchafu km kuna kiwanda cha mtindi humo kwenye papuchii,
 
Back
Top Bottom