Hii ishu ya Monii wa Central Zone na Roma iko vipi?

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Wengi wetu naamini mnajua kwa kina jinsi monii na Roma walivyokuwa washikaji..Na hata lile tukio la kutekwa walitekwa wote.....

Sasa shida imekuja baada ya kurudi uraiani wamekua sio washikaji tena
Je, kuna nini kati yao hapa wadau???
 
Wengi wetu naamini mnajha kwa kina jinsi monii na Roma walivyokua washikaji..Na hata lile tukio la kutekwa walitekwa wote.....Sasa shida imekuja baada ya kurudi uraiani wamekua sio washikaji tena je kuna nini kati yao hapa wadau???

Naona kiki ya kutekwa wameipanga wote lkn anayenufaika mmoja tu lazima mwenzie amaindi..
 
Roma kamsaliti mwenzake. Ukisikiliza Zimbabwe utadhan alitekwa mwnyewe. Moni nae angetoa nymbo ya kueleza tukio. Ushauri wangu.
 
Wengi wetu naamini mnajha kwa kina jinsi monii na Roma walivyokua washikaji..Na hata lile tukio la kutekwa walitekwa wote.....Sasa shida imekuja baada ya kurudi uraiani wamekua sio washikaji tena je kuna nini kati yao hapa wadau???
Moni anadai eti baadaa ya kutekwa na kuachiwa Roma aliwambia kuwa wasiliongelee lile tukio wala kuliimba, na ndiyo maana Moni alitangulia toa wimbo lakini hakuimba kuhusu hilo tukio kasoro mstari mmoja tu ambapo anasema sijui alishafungwa chini siku kadhaa bila kuliona jua
Kumbe mwenzao alikuwa anawalaghai kuwa ni hatari kuliongelea wasiinbe ili aje aimbe yeye kuhusu hilo tukio akiki peke yake.
 
Yap namimi ndio nilivyosikia
 
Yote haya kasababisha Bashite, huyu jamaa ni cancer kila mahali.
 
Moni anadai eti baadaa ya kutekwa na kuachiwa Roma aliwambia kuwa wasiliongelee lile tukio wala kuliimba, na ndiyo maana Moni alitangulia toa wimbo lakini hakuimba kuhusu hilo tukio kasoro mstari mmoja tu ambapo anasema sijui alishafungwa chini siku kadhaa bila kuliona jua
Kumbe mwenzao alikuwa anawalaghai kuwa ni hatari kuliongelea wasiinbe ili aje aimbe yeye kuhusu hilo tukio akiki peke yake.
nashukuru snaaaa kaka
 
Back
Top Bottom