lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
jamani hivi hili suala la watangazaji wa televisheni na radio kuwa mameneja,maproducer,mapromoter wa wasanii wa bongo movies na bongo fleva, lengo lao ni lipi hapa? na je msanii akikataa kuwa chini yao madhara yake ni yapi? na kama akikubali kuwa chini yao atapata faida gani?