Hii ishu ya Watangazaji kuwa Mameneja wa Wasanii, Maproducer, Mapromota wa wasanii, Imekaaje hapa?

Hii ishu ya Watangazaji kuwa Mameneja wa Wasanii, Maproducer, Mapromota wa wasanii, Imekaaje hapa?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
jamani hivi hili suala la watangazaji wa televisheni na radio kuwa mameneja,maproducer,mapromoter wa wasanii wa bongo movies na bongo fleva, lengo lao ni lipi hapa? na je msanii akikataa kuwa chini yao madhara yake ni yapi? na kama akikubali kuwa chini yao atapata faida gani?
 
Inatokana na ukweli kwamba wasanii hasa wanamuziki wanawategemea kuwapa airtime kwenye vyombo wanakofanyia kazi. Nje ya hapo ni dhahiri hawamudu wala hawaelewi maana ya kuwa manager wa wasanii!

Ni njaa tu inawasumbua watangazaji hao na wasanii wamekosa uelewa wa nini maana ya kuwa na manager! Wakielewa maana ndio watapata watu muafaka. Swali - Tanzania wapo watu wenye kumudu kazi hiyo?
 
Hii ndio ile dhana ya " promoter ana beep" ilipojikita. wizi mtupu.
 
jamani hivi hili suala la watangazaji wa televisheni na radio kuwa mameneja,maproducer,mapromoter wa wasanii wa bongo movies na bongo fleva, lengo lao ni lipi hapa? na je msanii akikataa kuwa chini yao madhara yake ni yapi? na kama akikubali kuwa chini yao atapata faida gani?

post bado dhaifu haina mifano
 
Back
Top Bottom