Hii Itifaki ya Kuzika Wasanii Imekaaje?

Hii Itifaki ya Kuzika Wasanii Imekaaje?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
kwanza nianze kwa kutoa pole kwa tasnia ya sanaa hasa za maigizo ambao wamekuwa na mfululizo wa misiba ya wasanii nguli na chipukizi

Hebu wakuu tujadili kidogo, itifaki inayotumika katika kuzika wasanii wetu inatumia vigezo gani?

wapo ambao walizikwa ama kuagwa na viongozi wakuu kwa wadogo wakiwemo Mh Rais, Waziri Mkuu, Wakuu wa Mikoa etc na wengine kavukavu.

Nadhani mmenielewa na tufungue mjadala



 
Mkuuu hujaelewaka n kipi hasa wakihitaji...out


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
download (1).jpg
JK Msiba wa Sajuki
 
download (2).jpgdownload (2).jpg
Mawaziri Msiba wa Kanumba
 
hii inategemea na umaarufu wa mtu Amavubi.....
 
Last edited by a moderator:
Unajua kweli inategemea umaarufu wa mtu.Ndio maana hata wananchi wakawaida kwa Kanumba mlijaza Leaders lakini wa Tyson,Kuambiana hamkujaza Leaders kwanini?Wewe mimi nilikuona umezimia kwenye msiba wa Kanumba au unabisha?Mbona wa mzee small hata kwenye comments zako sijaona RIP.
 
Unajuwa kanumba ameacha balaa kubwa
Baada ya wanasiasa kushobokea maziko yake ili kuteka umma
Rais akaenda ili kuiboresha ccm na kusahaulisha wananchi mfumko wa bei wakati ule
Sasa ile show game imekuwa deni kubwa kwao
Inabidi kila msanii akifa serekali iwepo tena ngazi ya juu
Bongo fleva wawepo tena ngazi yajuu
Walitumia mazishi kisiasa sasa hivi wanateseka na kutoka hawawezi tena.
 
Unajua kweli inategemea umaarufu wa mtu.Ndio maana hata wananchi wakawaida kwa Kanumba mlijaza Leaders lakini wa Tyson,Kuambiana hamkujaza Leaders kwanini?Wewe mimi nilikuona umezimia kwenye msiba wa Kanumba au unabisha?Mbona wa mzee small hata kwenye comments zako sijaona RIP.

wa Small nilikuwepo na mm ni RC
 
Kweli inategemeana na umaarufu wa mtu tu na si kingine
 
Back
Top Bottom