Hii Itifaki ya Kuzika Wasanii Imekaaje?

Hii Itifaki ya Kuzika Wasanii Imekaaje?

hii inategemea na umaarufu wa mtu Amavubi.....

Unajua kweli inategemea umaarufu wa mtu.Ndio maana hata wananchi wakawaida kwa Kanumba mlijaza Leaders lakini wa Tyson,Kuambiana hamkujaza Leaders kwanini?Wewe mimi nilikuona umezimia kwenye msiba wa Kanumba au unabisha?Mbona wa mzee small hata kwenye comments zako sijaona RIP.

Ngoja nitafute umaarufu

Kweli inategemeana na umaarufu wa mtu tu na si kingine

Au unaweza kutuma maombi Ikulu kua ukifa utembelewe na Rais. Na ikiwezekana kuwe na dau ili kuongeza kipato cha TRA.
 
hii inategemea na umaarufu wa mtu Amavubi.....

Unajua kweli inategemea umaarufu wa mtu.Ndio maana hata wananchi wakawaida kwa Kanumba mlijaza Leaders lakini wa Tyson,Kuambiana hamkujaza Leaders kwanini?Wewe mimi nilikuona umezimia kwenye msiba wa Kanumba au unabisha?Mbona wa mzee small hata kwenye comments zako sijaona RIP.

Ngoja nitafute umaarufu

duh, umeua sana hapa

hahahahha! maanake naona wanagombea kutembelewa na Rais wakifa.
 
kwanza nianze kwa kutoa pole kwa tasnia ya sanaa hasa za maigizo ambao wamekuwa na mfululizo wa misiba ya wasanii nguli na chipukizi

Hebu wakuu tujadili kidogo, itifaki inayotumika katika kuzika wasanii wetu inatumia vigezo gani?

wapo ambao walizikwa ama kuagwa na viongozi wakuu kwa wadogo wakiwemo Mh Rais, Waziri Mkuu, Wakuu wa Mikoa etc na wengine kavukavu.

Nadhani mmenielewa na tufungue mjadala

Pilitical mileage.....
 
Back
Top Bottom