Hii JBL flip 5 ni good music

Kweli yaani hata sabufa inasoma namba hapa
 
Hii kitu sikuwahi kuhisi nitatamani kununua ila kadiri siku zinavyozid kwenda nahis nitanunua,hio ni baada ya kukutana na mshikaji wangu anayo genuine
 
Jbl charger 5 iko kwa wazungu nasubiri shipping ifanyike. Wengine kusikiliza mziki ni burudani.

Jbl napenda speaker yake ilivyo tengeneza ni kusikiliza kwa mita chache sio kelele kama brand za kariakoo
Charger 5 kubwa lake flip 5 NI Moto mno
 
Shukran nilipata bahati ya kusikiliza zote mbili Anker na JBL lakin haya masikio yakadata na JBL vibe mpaka Moyon unafall

Mzee mbona husemi kama kuna utofauti wa hayo madude charger 5 na flip 5….

Ipi ni nzuri zaid kama ni tofaut
 
Mzee mbona husemi kama kuna utofauti wa hayo madude charger 5 na flip 5….

Ipi ni nzuri zaid kama ni tofaut
Sound quality zote ni nzuri na amazing Ila charg 5 ina quality clean sound ya juu Kidogo Na base NI iko juu kuliko flip 5

Yaan kama ubora zinazidiana Kidogo tu
 
JBL ORIGINAL CHARGER 5 KWA DSM ZINAPATIKANA WAPI?

NITAJUAJE KAMA NI ORIGINAL?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…