MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,195
Ana nyota ya jela huyo, shauri yako.Huyu dada huwa namzimikia sana mwenye contact zake please,nampendaa akiwa anaongea hana nyodo kabisa ,huyu pia mpole sana huyu dada ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana nyota ya jela huyo, shauri yako.Huyu dada huwa namzimikia sana mwenye contact zake please,nampendaa akiwa anaongea hana nyodo kabisa ,huyu pia mpole sana huyu dada ,
Wachache wanaolewa weng uzur wao unawafanya watumike sana na kuzalishwamabinti wazuri mbona hawaolewi!!!?
Uking'ang'ania kifaa hicho jiandae kuchanganyikiwa na presha juu.Daaaaah!!!Ugonjwa wangu huuuu...,Loooh!!!Wapi revola!!Mida mibaya hiiii jamaniiiiii
Kumbe wabaya tusikate tamaa, tutaolewa tu! !!mabinti wazuri mbona hawaolewi!!!?
Huo ndo ugonjwa wangu, yeyote anayetaka kula hela yangu hufanya hivyo.
Kumbe wabaya tusikate tamaa, tutaolewa tu! !!
Wee me kundi langu la kuolewa bana teh, usinikatishe tamaahahha unalikimbia kundi lako... wabaya hawajisemi
Zamani askari polisi walikuwa wakubwa kwa maumbo sasa kuna kitu iliitwa tanganyika jeki hiyo lazima utembelee vidole nadhani atakuwa kaitumia hiyo.Hebu ngoja nizoom kwanza. Nione vizuri hiyo jeki