HII KALI... MKEMIA UMETISHA.

Chemical changes are permanent changes comparing to physical changes, Diamond has surrendered the case, he doesn't wish the chemical changes to happen.

Are you a robot........ Sooooo busy
 
Hivi mzee WA single touch double manifestation mbona huwa hamjibu Emma Mbasha mbali na kuwa anamtuhumu mara kwa mara?
 
Hivi mzee WA single touch double manifestation mbona huwa hamjibu Emma Mbasha mbali na kuwa anamtuhumu mara kwa mara?
Kuzaa na Mke wa mtu kunahitaji adabu ya juu. Alishamjengea nyumba iko Mabibo, na akaonywa kuwa akikosea tu akaongelea juu ya Flora Mbasha kukanusha kuzaa naye, atajuta kuzaliwa. Mbasha mzima mzima hadi DNA.
 
Mmhhhh!!!
Najiulizaga sana huyu Mzee mbona hamjibu kabisa Mbasha?
Labda kweli hiyo issue inamuhusu anyways
 
Hivi una undugu na kiumbe anayeitwa shetani?Kama hujui,basis mtafute yaani mnafanana saana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…