Hii kali Ndailagije kaita timu ya taifa yenye mshambuliaji mmoja tu!!!

Mkuu uko sahihi boko na salim ayee wote majerui ww kwa maon yako unazani nani anafaa kuitwa mimi kwa upande wangu czan.kama nisawa kumuacha kapombe nazan kunakutokuelewana baina ya kapombe na viongozi wa tff ila kwa maslai ya nchi ilitakiwa waondoe tafauti na kapombe awepo
 
Simba wana Kagere na Bocco dk 180 na wamakonde wamefunga goli moja la penalty...Salah na Mane sio natural strikers ila unaona moto wao
 
Nimefurahi mno kwa kutokuwemo Manula na Kakolanya. Aachwe kipenzi chao langoni mpaka aamue mwenyewe......
 
Mwite Zatara ..
Mkuu, swali linabaki palepale. Je ulitaka aitwe nani!? Kumbuka hii ni mashindano ya wachezaji wa ndani!! .. Kama nchi Hatuzalishi wafungaji... Je kwenye league yetu, ulitaka mshambualiji gani amnaye anafanya vyema na hakuitwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…