Haya sasa! Ukweli umedhihirika. Siku kocha akimuita Ditram Nchimbi, mnishtue. Kwangu mimi, huyu ni moja ya washambuliaji hatari sana iwapo atapewa nafasi. Ana nguvu, ana kasi na ana jicho la kufunga na pia ni mwepesi wa kutoa msaada (assist).
Hizo ndizo sifa muhimu za mshambuliaji.