Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Uteuzi mbovu wa huyu mrundi, amekariri wachezaji fulani lazima wacheze.Mkuu, swali linabaki palepale. Je ulitaka aitwe nani!? Kumbuka hii ni mashindano ya wachezaji wa ndani!! .. Kama nchi Hatuzalishi wafungaji... Je kwenye league yetu, ulitaka mshambualiji gani amnaye anafanya vyema na hakuitwa!?