Hii kali sasa

Hii kali sasa

shoshte

Senior Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
129
Reaction score
20
Katika pita za kazi unakutana na msichana mnakuwa marafiki wa kawaida mnaendelea kidogo,unaona huyu dada anasubiri
umtamkie kitu kuwa nakupenda sababu anavyokufanyia inaonyesha wewe una mtu tayari katika mahusiano yani mchumba
wewe ukaona hapa cha msingi nikumuweka wazi unamweleza kuwa una mchumba na unaleta unamtaburisha kwa huyo rafiki yako
wanakuwa marafiki ila baadae yule msichana anaanza kukupigia simu marakwa mara na sms sio za ajabu.unaulizwa nna mchumbako kuwa kama mmeshakuwa na uhusiano unasema hapana.SASA KALI INAKUWA SASA WEWE UNAONDOKA KIKAZI KWA MUDA YULE MSICHANA KILA AKIKUTANA NA MCHUMBA WAKO ANAKUULIZIA HATA ANAOMBA PICHA YAKO YAANI HAACHI KUKUTAJA KILA MARA WAKUTANAPO HIKI KITU KINAMUUMIZA MCHUMBA WAKO SANA UTAFANYAJE ILI HALI UMESHAMWELEZA KILA KITU????:embarassed2:
 
unatakiwa ku mdo tu hapo...
kumtendea haki lol
 
Kama ni mwelewa sidhani kama ata-mind
ni mwelewa sana na anaelewa ila kinachomchosha ni kuwa huyu rafiki yetu kila wakikutana lazima anitaje ooh nimemiss anavyo cheka nimemiss utani wake nk
 
Back
Top Bottom