Hii kali

Hii kali

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,130
Reaction score
2,102
Jana Mchepuko wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi? kaniambia ameibiwa mjini, nikampa pole! halafu akaniambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue, mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 usiku kaondoka kwenda kwao.

Huku nyuma mimi nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele, kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza muda nikampiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu, kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote!

nikamwambia arudi nije nimpe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda keshoikatiki✅

Maswala yakurudisha maendeleo nyuma hakunaga tena aisee
Ujinga ndio kitu skipendagi
 
Kiboko yao! ungempa laki moja Tu anunue Nokia ya Tochi.
 
Ni mwanafunzi wa shule gani? Akipata mimba utapewa bila mahari!
 
Msg za facebook hizo umeshindwa hata kuedit!!!
 
HATARI ya kutoweka wanaume waaminifu Tanzania.
dada wa watu kakuomba angekuibia je? huna mwambie huna sio kujipaisha juu unazo huku unatoa hako ka laki alafu huna hata luku ndani. jishushe mwambie huna.

NB: mchepko mzuri kitandani kwenye shida ni adui wamaendeleo ni kweli haya? Mungu anakuona malipo ni hapahapa.
 
Back
Top Bottom