Hii kamata kamata ya washindani mnachochea vurugu ambayo hamtakuja kuizima

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Nyie endeleeni tu. Mnadhani watanzania mmewaokota? Jibu ni hapana. Watanzania wanabadilika. Wakati unawabadilisha. Wanaona matendo yenu.

Na uzuri ni kwamba mnaishi nao katika jamii hii hii. IPO siku watawasaka mmoja mmoja. Na kila wakikamata watatangaza hadharani Leo tumekamata Malaya mmoja.

Ndugu yenu mnayempigania hakubaliki ng'o. Mnachochea vurugu na kisasi. Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…