Hii kasi Ya Mh Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania itasababisha Ndoa nyingi kukumbwa na Usaliti.

Sasa shemeji hata ukipata hiyo nyumba ndogo ndo utakuwa na muda nayo wa kutosha kuihudumia
 
shemeji hapo nimesemea Kama ni mwanamke Ukitoka kwenda Kazini Huku Nyuma Paulo anaingiza Katoto kabichi na Kwa mwanaume ndio hivyo hivyo.. Maana Muda Hautoshi
 
Si wote tunaenda kazini, kwa hiyo wote tunabanwa
 
unajikuta kila siku Mnapeana migongo na hata Mkishtuka alfajiri Mnahisi muda hautoshi sasa unadhani Hapo kwa mtu kama Sumbai atakosa mchepuko?
 
ikitokea wewe huna kazi au yeye na kila akirudi au ukirudi uko hoi unadhani kuna kipi hapo?
Teh sisi hatuchepuki bana shem, afu kuna sehemu nimekumention. Check ule uzi wa bibi harusi aliyetoroka apatikana
 
ooooh nimekuona shem harafu nasikia Binti Aliahirisha ndoa si chini ya mara kumi. Ninachokiamini mimi ni kwamba binti alikwenda kupiga shoo ya mwisho na ndio maana alipoonekana akaleta usanii wa kutojielewa Etii
 
Shoo ya mwisho apige muda wa kujiandaa kwenda kanisani?
 
Kama Alikua Hajielewi alijuaje Hii ni bodaboda na akajuaje kuwa hapa ni Moshi Stendi... Na alifikaje arusha na Kwanini Hakuonekana Siku ile ile akaja kuonekana Siku ya pili? Shemu Huyo binti alikuwa na mwanaume mwingine hilo la kwamba hajielewi ni kutaka kucheza na Akili za watu
 
Shem la kusema kaenda kupiga shoo ya mwisho sina uhakika nalo. Ila kuna kitu nyuma ya yeye kutaka kuhairisha ndoa kwa mara kumi zote. Hapo ndo siri ilipo
 
Yeah Hapo ndipo palipojificha Ukweli na Utata Wote Uliogubika Hii ndoa
 
Kila kitu kina mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…