Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa shemeji hata ukipata hiyo nyumba ndogo ndo utakuwa na muda nayo wa kutosha kuihudumia
Si wote tunaenda kazini, kwa hiyo wote tunabanwashemeji hapo nimesemea Kama ni mwanamke Ukitoka kwenda Kazini Huku Nyuma Paulo anaingiza Katoto kabichi na Kwa mwanaume ndio hivyo hivyo.. Maana Muda Hautoshi
Teh sisi hatuchepuki bana shem, afu kuna sehemu nimekumention. Check ule uzi wa bibi harusi aliyetoroka apatikanaikitokea wewe huna kazi au yeye na kila akirudi au ukirudi uko hoi unadhani kuna kipi hapo?
Teh sisi hatuchepuki bana shem, afu kuna sehemu nimekumention. Check ule uzi wa bibi harusi aliyetoroka apatikana
Shoo ya mwisho apige muda wa kujiandaa kwenda kanisani?ooooh nimekuona shem harafu nasikia Binti Aliahirisha ndoa si chini ya mara kumi. Ninachokiamini mimi ni kwamba binti alikwenda kupiga shoo ya mwisho na ndio maana alipoonekana akaleta usanii wa kutojielewa Etii
Shoo ya mwisho apige muda wa kujiandaa kwenda kanisani?
Kama Alikua Hajielewi alijuaje Hii ni bodaboda na akajuaje kuwa hapa ni Moshi Stendi... Na alifikaje arusha na Kwanini Hakuonekana Siku ile ile akaja kuonekana Siku ya pili? Shemu Huyo binti alikuwa na mwanaume mwingine hilo la kwamba hajielewi ni kutaka kucheza na Akili za watu
Shoo ya mwisho apige muda wa kujiandaa kwenda kanisani?
Kila kitu kina mwishoWasalaam
wakuu
kama tulivyo shuhudia sekeseke la Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli Kutembelea Wizara na Ofisi Mbalimbali Za Serikali kukagua utendaji wake.
Hili suala kwa Upande wangu nimelitazama kwa jicho la tatu na Kugundua Hii kasi inaweza kuleta usaliti katika ndoa na Kusababisha Kuvunjika kwa ndoa husika Ama kuleta Mtafaruku.
KWANINI NASEMA HIVYO?
Nasema hivyo kwa kuwa watu Wengi hasa wale wanaoishi mbali na mjini kama Tegeta, bunju,gongo la mboto, pugu na sehemu nyingine huwapasa kuamka saa kumi usiku ili kujiandaa kwasababu ya kuwahi ofisini ili kuepuka kikombe cha kukutwa hawapo ofisini hasa pale Mheshimiwa Rais Atakapo tembelea ofisi husika.
Sasa kwa hali kama Hiyo Unadhani Usaliti utakosekana? Kumbuka Mnatoka Ofisini Saa kumi jioni lakini kutokana na Foleni Mnajikuta Mkifika makwenu saa tatu au saa nne. Tena mnafika Wote mkiwa hoi kwa uchovu Wa Kazi na Kukaa Foleni Kwa Muda Mrefu. Je Unadhani Hapo Unaweza Kumgusa mwenzi Wako? Jibu ni Hapana!
Kama hilo ndio jibu basi itakubidi upange kula tunda saa kumi na moja alfajiri...hata Nyie wenyewe mnajua mechi za Asubuhi zinavyonoga.. Sasa Jaribu Kufikiria umeamka saa kumi na moja au saa kumi kwasababu ya mechi, lakini hapo hapo katika mechi Unafikiria kuwahi kazini kuepuka kutembelewa na Mheshimiwa Rais ukakosekana.. Kutokana na Hilo unajikuta ukifanya shoo ambayo haina maandalizi ya jukwaa isipokuwa kufanya tu ili mradi kutimiza wajibu... Sasa Swali ni Hili Je Hali Hiyo Ikijirudia kama Mara Kumi au zaidi unadhani Patakuwa na Usalama hapo?
Tendo linahitaji Utulivu wa akili pamoja na nafsi.. Tendo ni maelewano na tendo ni kitu ambacho hutumia kila aina ya kachumbari ili kunogesha tendo lenyewe. Sasa kama Hali ndio Hii mtu upo kifuani lakini Unafikiria Kazini Unadhani Utaikata Hamu Ya Mwenza Wako...???
Na kama utashindwa kuikata unadhani kutakuwa na Usalama katika ndoa?
Jibu ni Hapana.....
Kama Jibu ni Hapana Unadhani nani atakusaidia kumkata kiu mwenza wako?
Hapo ndipo vijana kama MITO,KABOOM,SUMBAI,KAVELI,WORLDBOSS,PETERCHOKA, JUNIOR,CUX,WAX, ATOTO, CUTE B, HEAVEN SENT,MISSYROSE,RUBII,EVELYN SALT NA WENGINEO watakapo take advantage ya kumiliki nyumba ndogo za kutosha.
CHONDECHONDE RAIS WANGU MPENDWA JARIBU KUPUNGUZA KASI HUKU MAJUMBANI HALI SI SHWARI TENA NDOA ZINAPITIA KWENYE MAJARIBU