Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hata Aden Rage aliwahi kusema "tatizo la Mashabiki wa Simba SC ni Mbumbumbu" ila ukiwa na akili timamu unapaswa kukaa kimya tu.Kuwa Yanga ilikuwa imeanzishwa kama team ya watu wasio na Elimu. Hii ni kama kauli ya kutupa laana. Mimi nina Elimu nipo Yanga. Ni Daktari nipo Wizara Nyeti nazunguka Duniani.
Ninaipenda Yanga na nina akili huwa wakikosea nawakosoa. Sasa msituchukulie sisi wote ni kama yule fala aliyetutukana kuwa wenye akili ni watu Bee tu. Yule ile laana imemkalia mpaka sasa anaolea wenzie tu. Akiona anaishia kupiga picha na videos na mademu wenzie wanamchapia.
Kauli hii imesababisha akina Mzee Kipili wajione wao ni Yanga sana kuliko wengine sababu hawana Elimu. Majobless wengi wanaamua kushabikia Yanga na kujiita Makumandoo. Hawa huwa hawana akili wakiambiwa sasa ni wakati wa kumbeba Hersi wanambeba. Sasa ni wakati wa kumtawaza wanamtawaza. Kama manyani kama mbwa.
Yanga itafanikiwa kwa kuongozwa na watu wenye akili na elimu ya kueleweka ambao hawatatwaza mashabiki. Kuwa ni wala mihogo tu (mihogo inasababisha watu wasiwe na akili ni kama ugali) hatutaki upuuzi kwa sasa.
Hata Aden Rage aliwahi kusema "tatizo la Mashabiki wa Simba SC ni Mbumbumbu" ila ukiwa na akili timamu unapaswa kukaa kimya tu.
Je Ndugu, Rafiki na Jamaa wote wa Aden Rage ni Mbumbumbu? Basi pia kwa Haji Manara ndivyo ilivyo "vise versa is totally true".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
naaaam wako mtu bee tu π€πYanga wenye akili ni wawili tuu