Hii kauli imepotelea wapi ndugu zangu?

Hii kauli imepotelea wapi ndugu zangu?

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Kipindi niko mdogo kabla ya kufika darasa la sita na saba kujifunza elimu ya uzazi niliwahi kumuuliza mama amenipataje ,nadhani ilikua katika harakati za kutaka kujua mambo mengi zaidi ila bi mkubwa aliishia kunambia kuwa AMENIOKOTA BAHARINI na dada yangu AMEMNUNUA HOSPITALI

Ila siku hizi watoto wanaambiwa bila vificho jinsi walivyopatikana
 
Umwambie mtoto hivyo wakati kila siku anaangalia runinga jinsi wanawake wanavyozaa ilikuwa zaman
 
Back
Top Bottom