jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Kipindi niko mdogo kabla ya kufika darasa la sita na saba kujifunza elimu ya uzazi niliwahi kumuuliza mama amenipataje ,nadhani ilikua katika harakati za kutaka kujua mambo mengi zaidi ila bi mkubwa aliishia kunambia kuwa AMENIOKOTA BAHARINI na dada yangu AMEMNUNUA HOSPITALI
Ila siku hizi watoto wanaambiwa bila vificho jinsi walivyopatikana
Ila siku hizi watoto wanaambiwa bila vificho jinsi walivyopatikana