Hii kauli mbiu 'war in Dar' tuikemee

Inasikitisha mno. Mie simaanishi michezo hapa kwani si pahala pake. Mie nimetahadharisha neno vita kulitumia wakati nchi yetu ni ya amani si jambo jema.
Kwani limetumiwa na afisa habari gani zaidi ya wa michezoni?
 
😂😂😂SUBIRI WAKISHATOLEWA HIZI KAULI MBIU HUTAZISIKIA
 
Acha useng
 
Ndiyo maana sishabikii mpira wa Tanzania asubuhi yote hii mtu anaanzisha mada kama hii kweli?
Jf ni worldwide sasa unavyosema asubuhi yote unadhani kila mtu yupo sehemu ambayo ni asubuhi?
 
Jf ni worldwide sasa unavyosema asubuhi yote unadhani kila mtu yupo sehemu ambayo ni asubuhi?
Simple logic inabidi ikumaanishie kwamba kama wewe ulipo siyo asubuhi hiyo inamaanisha hauhusiki
 
Inasikitisha mno. Mie simaanishi michezo hapa kwani si pahala pake. Mie nimetahadharisha neno vita kulitumia wakati nchi yetu ni ya amani si jambo jema.
kwa hyo hapa sio pahala pa michezo,, Haya kalale sasa
 
Basi sawa Mtopolo.
Mwambieni makamu atengue kauli ya kulalamikia marefa,tff na bodi ya kigi kuihujumu Yanga.
Tataizo la Yanga keshalitatua kwa kuvunja benchi la ufundi.
 
Utopolo mnateseka na timu ya magarasha, nani akapigane vita Tanzania wakat hata kuandamana hawawezi
 
Mini ni shabiki damu wa Yanga lakini kwenye hili Simba wanastahili pongezii huu msemo wa War In Dar unaamsha midadi ya wachezaji,technical.. mashabiki
 
Yaani Utopolo kuna siku mtaanza kufukuzia vivuli vyenu, yaani Paka mnamuogopa, Slogan za mnyama pia mnaziogopa .kuna siku mtaanza kukimbia vivuli vyenu mkijua simba anakuja.
Ila ndio maana wanasema matajiri wanaogoza kuishi kwa wasi wasi, Utopolo mnaogoza ligi lakini bado mnaishi kwa wasi wasi
 
Sikuongelei wewe mleta mada,maana sredi yako inakutanabaisha kuwa wewe ni Utopolo.
Hapa namuhitaji msemaji wa Serikali aje aseme na hii ya ' Silent Killer' Vipi, na Yenyewe ikemewe? Mambo S.S.C na Utopolo awaachie wenyewe asianze kujidharirisha kwa kuleta Utopolo wake.....!
 
Inasikitisha mno. Mie simaanishi michezo hapa kwani si pahala pake. Mie nimetahadharisha neno vita kulitumia wakati nchi yetu ni ya amani si jambo jema.
Nonsense. Huna hoja wewe.
 
Kweli ushamba mzigo inamaana jamaa hawajui hata washika mtutu wa London? Au hajui maana ya Arsenal au the gunners? vp kuhusu nembo yao ina maanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…