Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwani limetumiwa na afisa habari gani zaidi ya wa michezoni?Inasikitisha mno. Mie simaanishi michezo hapa kwani si pahala pake. Mie nimetahadharisha neno vita kulitumia wakati nchi yetu ni ya amani si jambo jema.