The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali.
Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao.
Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna nafasi ya kwenda unamtuma mtu kwa kumlipa ujira, then akinunua uanze kumpongeza kwamba eti nashukuru kaleta hela, mara kaleta maendeleo, utasikia asingekua yeye sijui tungefanyaje!
Hivi hii kauli husemwa na wanasiasa wa mataifa mengine pia au ni sisi tu?