The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Halafu hii kauli inatumiwa zaidi kwenye mema kwenye mabaya inakataliwa.Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali.
Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao.
Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna nafasi ya kwenda unamtuma mtu kwa kumlipa ujira, then akinunua uanze kumpongeza kwamba eti nashukuru kaleta hela, mara kaleta maendeleo, utasikia asingekua yeye sijui tungefanyaje!
Hivi hii kauli husemwa na wanasiasa wa mataifa mengine pia au ni sisi tu?
Natamani tuipige vita inadumaza akili za wananchihapahapa tu ujingani ambapo mtu mmoja mwenye umaarufu wa kijinga kama mwijaku anaweza kuwashikia akili watu wote wanaosikiliza clouds fm.
Inakera sana inawafanya watu wabweteke na kujenga dhana vichwani mwao kwamba maendeleo atawaletea rais wakati si kwelihapahapa tu ujingani ambapo mtu mmoja mwenye umaarufu wa kijinga kama mwijaku anaweza kuwashikia akili watu wote wanaosikiliza clouds fm.
Tutaiondoa kwenye katiba mpya!Natamani tuipige vita inadumaza akili za wananchi
Ni kweli, Bei ya mazao ikiwa mzuri kwa wakulima, wanasema kazi ya Rais,Halafu hii kauli inatumiwa zaidi kwenye mema kwenye mabaya inakataliwa.
Mfano watu wakisema rais kasababisha mfumuko wa bei, kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida kwa kuweka tozo nk, . Utaona utetezi kila mahali.
Nikienda likizo kijijini watu wananipokea kwa kusema walambe kiatu yaani niwape chochote . Ukiwapa kitu kidogo wataanza kujikomba, baba yako alikuwa rafiki yangu mkubwa nkInakera sana inawafanya watu wabweteke na kujenga dhana vichwani mwao kwamba maendeleo atawaletea rais wakati si kweli
Tuanze na:Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali.
Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao.
Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna nafasi ya kwenda unamtuma mtu kwa kumlipa ujira, then akinunua uanze kumpongeza kwamba eti nashukuru kaleta hela, mara kaleta maendeleo, utasikia asingekua yeye sijui tungefanyaje!
Hivi hii kauli husemwa na wanasiasa wa mataifa mengine pia au ni sisi tu?
Kauli hizo ni za kinyonge na huonesha udikteta upo kazini na pia ni kipimo cha siasa njaa.Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali.
Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao.
Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna nafasi ya kwenda unamtuma mtu kwa kumlipa ujira, then akinunua uanze kumpongeza kwamba eti nashukuru kaleta hela, mara kaleta maendeleo, utasikia asingekua yeye sijui tungefanyaje!
Hivi hii kauli husemwa na wanasiasa wa mataifa mengine pia au ni sisi tu?
Ndugu yangu, tena ni afadhali wangekuwa wanaipongeza 'serikali' sasa nchi zetu hizi huu ambazo kwa bahati mbaya, zenye watu walio pumbazwa kwenye usingizi wa fikra za ' ujamaa' ,siku zote hushindwa kujua na kutenganisha wajibu wa serikali na Rais kama mtumishi wao. Maana wanashindwa kujua kuwa 'kodi zao ndo zalipa mishahara ya watumishi wote,na shughuli za maendeleo ni na wala sio 'hisani' ya mtu au serikali kama wanavyofikiri..........elimu.....elimu..na ukichanganya na kwamba civic education ya wananchi wengi TZ iko chini sana, inakuwa ni tatizo zaidi kiasi kwamba inaweza chukua miaka mingi nchi kama hiyo, kupata maendeleo ambayo ni sustainable..... kaazi kwelikweli....Tuanze na:
-Rais kaleta uhuru, rais kaleta umasikini kwa siasa zake za ujamaa.
-Rais kaifungua nchi, rais kaleta wa walanguzi.
-Rais kapambana kuimarisha uchumi, rais kauza mashirika/makampuni kiholela.
-Rais kashirikiana vizuri na wadau wa maendeleo(mabeberu), rais kamng'oa kucha Dr Ulimboka.
-Rais kajenga interchange(flyover), rais kamuua Ben Saane.
-Rais anaitangaza nchi kimataifa, rais kaleta tozo.
Kwakweli sijui kama kuna mtu anaweza simama kwenye bunge la marekani kwamba namshukuru Biden anatekeleza elimu bureKauli hizo ni za kinyonge na huonesha udikteta upo kazini na pia ni kipimo cha siasa njaa.