Hii kauli "Simba dhaifu" inatugharimu sana Yanga

Hii kauli "Simba dhaifu" inatugharimu sana Yanga

Simba kiwango WA tano 5 Bora Africa na hakuna kelele. Ngoja siku majini' FC waingie 10 Bora utashangaa mabango Nchi mzima. SASA hivi wanaombea wapangiwe ASEC wakati Simba inamsubiri yeyote iingie mzigoni. Hiyo ndio washamba FC.
 
Siwezi hamia Simba
Mimi ni Yanga dam dam
Nasikitishwa na hii mentally tuliyo nayo
Mfano hapa kuna watu wanaamini Asec dhaifu
Tukija kukutana nayo matokeo yakiwa tofauti tunasema Asec ngumu
Wakati Simba anapambana na Ahly kwenye Super League ndio Utopwinyo mlisema hayo. Mmeeeenda kule Majuzi na ujinga huo mkakojozwa Kimoko mmerudi Dar mmeloa sjui hata mmerudi au bado mko huko huko Kutazama Pyramids.
 
Umeandika kinyume sana na uhalisia.

Tokea msimu uliopita Yanga ndiye anayezungumzwa ni timu mbovu
Kila mechi anayoshinda kwenye kombe la shirikisho, wanasema kamfunga kibinde.
Yanga kacheza fainali ya kombe la shirikisho lakini mashabiki wa Simba wanaimba wimbo mmoja kuwa hayo mashindano ni ya timu mbovu klabu bingwa ndio kuna wanaume.

Yanga msimu huu anacheza na Asas alivyoshinda, tukasikia kuwa umewafunga hao vibonde ila Al Mereikh hamchomoki.

Yanga akafuzu makundi, ile droo inafanyika kila mtu alisema kuwa Yanga hatoboi kwa ubovu alionao na timu alizopangiwa nao basi wategemee kuwa wa mwisho kwenye kundi. Ila hao Yanga wamesonga mbele, na kuonesha kufika kwao fainali msimu uliopita sio kwa kubahatisha na sio kwa kuwa walikutana na timu mbovu bali walikuwa na ubora
 
Lakini tupo nao robo huku

Wakati yanga ilivyofungwa na belouizdad algeria watu wakasema hatuwezi kwenda popote pale kipindi hicho kwann hukuanzisha nyuzi yoyote ile simba walivyoanza kutuponda
 
Msibishane na UtoMakirikiri akili kwao ni kisoda..
 
Halafu yakishajazana ujinga yote yatakuja na kauli moja..eti kundi lao lilikua dhaifu...
Nyie ndo mlikua vibonde underdog ndo maana mkaona kundi gumu...
Simba imeshacheza na miamba yote ya soka kwny group stage..na kote ikatusua acheni kauli za kiutopolo...
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Umeandika kinyume sana na uhalisia.

Tokea msimu uliopita Yanga ndiye anayezungumzwa ni timu mbovu
Kila mechi anayoshinda kwenye kombe la shirikisho, wanasema kamfunga kibinde.
Yanga kacheza fainali ya kombe la shirikisho lakini mashabiki wa Simba wanaimba wimbo mmoja kuwa hayo mashindano ni ya timu mbovu klabu bingwa ndio kuna wanaume.

Yanga msimu huu anacheza na Asas alivyoshinda, tukasikia kuwa umewafunga hao vibonde ila Al Mereikh hamchomoki.

Yanga akafuzu makundi, ile droo inafanyika kila mtu alisema kuwa Yanga hatoboi kwa ubovu alionao na timu alizopangiwa nao basi wategemee kuwa wa mwisho kwenye kundi. Ila hao Yanga wamesonga mbele, na kuonesha kufika kwao fainali msimu uliopita sio kwa kubahatisha na sio kwa kuwa walikutana na timu mbovu bali walikuwa na ubora
Asipokuelewa basi tena
 
Back
Top Bottom