Hii kauli "Simba dhaifu" inatugharimu sana Yanga

tukiacha utani na kejeli simba na yanga ni dhaifu
 
Kama Simba ni dhaifu inakwaje AFL kadraw na Al Ahly Dar na akaenda kudraw Egypt, halafu nye mlipokutana nao mmedraw Dar mkapigwa Misri?ina maana Simba ingekuwa kwenye kundi la CAF na Al Ahly wangepata point 2 kwa Al Ahly na Yanga wangepata point 1 kwa Al Ahly (na huyo Al Ahly ndo aliyeogoza kundi lenu) kwa kuchukua point 4 kwenu.
 
Simba kiwango WA tano 5 Bora Africa na hakuna kelele. Ngoja siku majini' FC waingie 10 Bora utashangaa mabango Nchi mzima. SASA hivi wanaombea wapangiwe ASEC wakati Simba inamsubiri yeyote iingie mzigoni. Hiyo ndio washamba FC.
Simba haijawahi kuwa na uhaba wa matumaini
 
Kwa uchambuzi uloufanya mkuu ni ngumu kuamini kuwa wew ni yanga
sifa za wanayanga tunazifahamu ila wewe si mmojawapo..!
 
Reactions: BRN
Kwa uchambuzi uloufanya mkuu ni ngumu kuamini kuwa wew ni yanga
sifa za wanayanga tunazifahamu ila wewe si mmojawapo..!
Huyu itabidi tumuongezee awe mtu wa 3 mwenye akili Yanga, baada ya mzee Kikwete na Sunday Manara
 
Reactions: BRN
Yanga ingieni kwanza top 10 ya caf then ndo mjifananishe na simba.
 
Reactions: BRN

wanaoidharau Simba ni mashabiki wa Yanga, sio wachezaji wa Yanga. Wachezaji ndio wataleta matokeo uwanjani
 
Reactions: BRN
Katka zama za hivi karibuni imeibuka misemo kwa sisi wana Yanga kuiona Simba ni dhaifu na sisi ni bora zaidi.
Ukiangalia mechi anazocheza Simba na timu anazokutana nazo matokeo ni tofauti kabisa na kauli ya Simba dhaifu.
[emoji419][emoji375]
 
Baada ya kutoka draw na Al Ahly ikawaje ikazabwa [emoji2772]
 
Hapa mleta uzi anayejifanya ni Yanga hawezi kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…