Hii kauli ya kocha wa Red Arrows ina maana gani?

Non sense
 
Hii habari umeifupisha sana, kasema hata kabla ya mechi walifanya kautafiti kadogo kupitia zao walio Uganda na wakaambiwa kile kile kilichotokea uwanjani (matokeo ya mchongo)...
Lete hiyo clip maana ushahidi wa mahojiano upo halafu tuone aliposema amepewa habari na watu wao wa Uganda
 
Lete hiyo clip maana ushahidi wa mahojiano upo halafu tuone aliposema amepewa habari na watu wao wa Uganda
Mkuu hii hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Ndio maana jana nilisema, wale kenge walitakiwa kufa si chini ya 5, shida ya simba wana kadharau fulani wakati mwingine, ama umakini pale mbele unakuwa mdogo.
Sure Chief wale walitakiwa wafe 4!!
 
Hivi kwa vile vyenga vya morrison namna alivyokua ana daivu bado kaona tatizo lilikua ni refa?
Goli la kwanza la faulo unaona kabisa kuna faulo ya wazi ya wazi Wawa aliicheza lakini waamuzi wakaiminya kisha akaja kutoa faulo nyepesi ya Morrison. Kuna faulo inechezwa na wachezaji wa simba ilistahili yellow card lakini hakuna hata yellow card.
 
Ni kweli mpira unaweza kubadilika simba akafungwa ila silioni hilo kirahisi kwa hawa Red Arrows maana hata takwimu zao nyumbani sio kubwa kihivyo last five matches wameshinda mechi moja tu home tena kwa 1-0 cha muhimu ni kujipanga tu wapigwe hukohuko kwao
Tuliweza kupambana na waarabu tukafungwa 1 na Ahly tena katika wakati ambao Al Ahly alikuwa anahitaji zaidi matokeo dimbani kwake seuze hawa watoto!? Hawa tunatakiwa tuwapige kwao kabisa
 
Walahi yatarudi kama mvua

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
analalamikia goli gani hapo???
 
Mkuu mpira haupo hivyo. Kumbuka simba alikuwa na rekodi nzuri sana kwa Mkapa pale halafu kumbuka nini kilitokea mbele ya galaxy. Kumbuka pia kaizer chiefs hawakuwahi kushinda ushindi wa kishindo kwenye klabu bingwa lakini anakuja kumtandika simba goli nne. Kwenye mpira chochote kinaweza kutokea huenda simba akawa washangaza tena wazambia kwa kupata ushindi wakiwa away au pengine Wazambia wakawashangaza simba kwa kupata ushindi wa kishindo.
 
Umeongea ki-father sana mkuu, big up!
 
Goli la kwanza la faulo unaona kabisa kuna faulo ya wazi ya wazi Wawa aliicheza lakini waamuzi wakaiminya kisha akaja kutoa faulo nyepesi ya Morrison. Kuna faulo inechezwa na wachezaji wa simba ilistahili yellow card lakini hakuna hata yellow card.
Kama ile ya yanga na namungo ikawekwa penati ya feisali
 
Tuombe dua wasipindue meza kibabe.
Hawataweza kupindua meza mpira wao ni wa kawaida sana ingawa uwanja ulikuwa hovyo
Wanapenda kufuata mpira uliko na siyo kukaa kweny position tukienda huko tutawatoboa tu tena ..
 
Hawataweza kupindua meza mpira wao ni wa kawaida sana ingawa uwanja ulikuwa hovyo
Wanapenda kufuata mpira uliko na siyo kukaa kweny position tukienda huko tutawatoboa tu tena ..
Galaxy walikuwa na mpira mkubwa? Si mliwafunga kwao goli mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…