This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
When you're ignorant, nonesense makes perfect sense.Hii habari umeifupisha sana, kasema hata kabla ya mechi walifanya kautafiti kadogo kupitia zao walio Uganda na wakaambiwa kile kile kilichotokea uwanjani (matokeo ya mchongo).
Sasa kasema mechi ya marudiano refa anatoka ukanda wao na wanaweza kufanya kinacholalamikiwa na zaidi. Pia kasema angalau wengefungwa na timu nzuri asingelalamika, ila amefungwa na timu yenye mchezaji mmoja (Morrison ) huku refa akiwa man of the match.
Utopolo ktk ubora wako. Endelea kujifariji labda stress zitaisha. Ukitaka kufa tu lkn ndiyo tunaelekea kukubeba tena mwakani,uende tena ukaruke ruke urudi na visingizio.
This is Simba, One team One dream.