Hii kauli ya kusema samehee waliokutendea mabaya ila ukifatilia kwa umbali ni ulaghai umelazimishwa ushindwe

Hii kauli ya kusema samehee waliokutendea mabaya ila ukifatilia kwa umbali ni ulaghai umelazimishwa ushindwe

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sio kila misamahaa unaweza kusamehee ila kuna mambo mengine mfano yani mtu kakufelisha umekuwa maskini unaambiwa usamehee ,Je angekumaliza kabisa uhai na hapo ungesamehee nini.

Huyu unaye msamehee akishakumiza bila kuchukuliwa hatua anatafuta watu wengine maana kashamalizana na wewe .

Misamahaa inatakiwa kuchukuliwa adhabu ili kuepusha wengine wasije kukutana naye.
 
Kuna mtu Jana alikuja kijiweni kwangu akanihadithia jinsi binamu yake alivowauwa mapacha wake wa miez minne na akamalizia et amemsamehe Anamwachia Mungu 😳 unauwa watoto wangu halafu nikusamehe how?
 
Kusamehe ni kuachilia kutoa uchungu ndani yako kwa ajili ya aliyekukosea mara nyingi utaona ukianza kushughulika na kutaka kulipiza kisasi utajikuta unapoteza zaidi.

Kuna makosa hata wakisema hamna msamaha huwezi kuchukua hatua wewe kama wewe, kwa mfano mtu ameua hapo sheria itachukua mkondo wake, sasa hebu fikiri sheria ilipochukua mkondo wake akaonekana hakufanya makusudi hivyo kifungo kinakuwa cha muda mfupi atarudi mtaani ukiwa bado unauchungu utajikuta unaweka kisasi na mwisho wa siku unaharibikiwa wewe kwa hiyo kusamehe ni kwa ajili yako

Msamaha huwa unaondoa uchungu ndani na kuimarisha afya yako kwani uchungu huleta magonjwa,

Msamaha kiroho hurudisha mahusiano yetu na Mungu kwani na sisi tunakosea sana hivyo unaposamehe na Mungu anakusamehe ya kwako
 
Kuna shem langu mwaka 2001 alinikosea tena sana kiasi cha kwamba kama sio bro kuwa karibu nilikuwa nampasua uso na bomba la chumb coz nilikuwa nabadilisha tairi la gari. Ikabidi nikamchukia ile chuki ya akiwepo sehem siingii na nikiwepo mahali flani hawez akaja nilipo maana ntampasua hadi mwaka juzi kafariki ikatoka barua ndefu inasomwa ati tumsamehe yaani nilianza kucheka hadi tunamaliza kuzika. Since huo mwaka 2001 sikuwahi kukanyaga kwake yadi hata barabara inayopita karibu na kwake ni juzi ndo braza alikuwa anaumwa akaniita nimsindkize hos alipatwa na stroke akawa hawezi kutembea akaomba msaada wa gari ndo nimeenda kwake yaan hata watoto wake wengne siwafahamu ila wao wananijua. Ukiniudhi jipange
 
Safi sana,kisasi ni haki.
 
Miye kusamehe ngumu aisee lazima nilipize au nikuchunie moja kwa moja tusijuane kbs
 
Back
Top Bottom