Kuna shem langu mwaka 2001 alinikosea tena sana kiasi cha kwamba kama sio bro kuwa karibu nilikuwa nampasua uso na bomba la chumb coz nilikuwa nabadilisha tairi la gari. Ikabidi nikamchukia ile chuki ya akiwepo sehem siingii na nikiwepo mahali flani hawez akaja nilipo maana ntampasua hadi mwaka juzi kafariki ikatoka barua ndefu inasomwa ati tumsamehe yaani nilianza kucheka hadi tunamaliza kuzika. Since huo mwaka 2001 sikuwahi kukanyaga kwake yadi hata barabara inayopita karibu na kwake ni juzi ndo braza alikuwa anaumwa akaniita nimsindkize hos alipatwa na stroke akawa hawezi kutembea akaomba msaada wa gari ndo nimeenda kwake yaan hata watoto wake wengne siwafahamu ila wao wananijua. Ukiniudhi jipange