Hii kauli ya Magufuli masaa kadhaa kabla ya Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 inafikirisha sana!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanajamvi,

Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.

Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”

Aliongeza kwa kusema:

Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini

Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?

View attachment 3107207
Halafu kwenyeuchaguzi mkuu Magufuli akampa huyo Mwanyika Ubunge ,yaani lilikuwa jitu la ivyo sana hili
 
Wanajamvi,

Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.

Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”

Aliongeza kwa kusema:

Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini

Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?

View attachment 3107207
Ilitolewa kimakakati baada ya roadmap ya mauaji ya Lissu kuwa tayari
 
Duh...!. Jameni mwacheni huyu baba wa watu apumzike kwa amani
P
 
Kauli za mtu jasiri asiye na haya mbele za wasaliti

Hata Lissu ikitokea kwenye utawala wake akafahamu kuwa kunaanaye saliti taifa kwenye mipango yake kabambe kuelekea kulivusha Taifa kwenye ubeberu, atatwanga mtu Risasi

Hata ningekuwa mimi na ama yeyote humu

Tusidanyane, msaliti mmoja kwenye watu zaidi ya m.20 aishi kwa sababu ipi sasa?

Yuda mwenyewe alijinyonga
 
Kauli za mtu jasiri asiye na haya mbele za wasaliti

Hata Lissu ikitokea kwenye utawala wake akafahamu kuwa kunaanaye saliti taifa kwenye mipango yake kabambe kuelekea kulivusha Taifa kwenye ubeberu, atatwanga mtu Risasi

Hata ningekuwa mimi na ama yeyote humu
Kuomba taarifa kwa Mwanyika ndo usaliti?

Kutaka kufahamu taarifa zinazofichwa zenye maslahi ya taifa ndo usaliti? Au kwasababu hakuwa ccm?
 
Ni kwa nini unadhani Lissu alikula shaba?

Waliompiga wanasababu, mbona hawakumtwanga mwingine isipokuwa yeye? Hili nalo lichunguzwe
 
Back
Top Bottom