Hii kauli ya Magufuli masaa kadhaa kabla ya Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 inafikirisha sana!

Hii kauli ya Magufuli masaa kadhaa kabla ya Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 inafikirisha sana!

Wanajamvi,

Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.

Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”

Aliongeza kwa kusema:

Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini

Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?

View attachment 3107207
Hakika mtu huyu alikuwa mwovu sana, aendelee kuteseka huko kuzimu
 
Hata Adolf Hitler watu bado wanaendelea kumkumbuka hadi leo hii. Hata Benito Mussolini watu bado wanaendelea kumkumbuka hadi leo hii. Kwa nini wewe unaona haifai sisi kuendelea kumkumbuka huyo mtu wako?
If it was true that the armed rogue group had his endorsement to exterminate or cripple the outspoken opposition esquire, then it was in the country's sovereignty and natural wealth interest reservations as opposed to what the critics are recklessly escalating.
 
Hii orodha kama ipo kweli, unafikiri ni wakati gani ilikuwa inaongezeka kwa kasi?
Na tusiseme yale yanayotupendeza tu.
Nini umelenga kwenye hili swali? Sipo hapa kutetea au kulinganisha yeyote. Nipo hapa kutetea upande unaonewa bila kujali nani kaonea
 
Kimsingi Lissu was/is a traitor! Sijui kwa nini nadhani anatumika na watu fulani.
 
Kauli za mtu jasiri asiye na haya mbele za wasaliti

Hata Lissu ikitokea kwenye utawala wake akafahamu kuwa kunaanaye saliti taifa kwenye mipango yake kabambe kuelekea kulivusha Taifa kwenye ubeberu, atatwanga mtu Risasi

Hata ningekuwa mimi na ama yeyote humu

Tusidanyane, msaliti mmoja kwenye watu zaidi ya m.20 aishi kwa sababu ipi sasa?

Yuda mwenyewe alijinyonga
Shida sio mikataba kuingiwa kimakosa ila shida ni jinsi tunavyovunja. Mfano ni kweli Acacia walikua wanatuibia madini maana walikua hawafanyi declaration ya kuwemo dhahabu au madini mengine kwenye "makinikia".

Lakini.... ukisema uvunje mkataba tu au kukamata makontena kesi inabadilka kutoka wizi wa makinikia hadi "expropriation "!!

So suluhisho ilikua ni kuvunja mikataba kwa kufuata kanuni zile zile wakati tunaingia kwa mikataba hiyo. Sio kutafuta shortcut ilihali ushahidi upo
 
Wanajamvi,

Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.

Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”

Aliongeza kwa kusema:

Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini

Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?

View attachment 3107207
Hata pumzika na kama watoto wake hawataugama kwaajiri ya baba yao wabeba dam baba yao alizo mwaga. Mzazi ukiwa na Negative energy unairithisha kwa kizazi chako.
 
Back
Top Bottom