Hii kauli ya Magufuli masaa kadhaa kabla ya Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 inafikirisha sana!

Hakika mtu huyu alikuwa mwovu sana, aendelee kuteseka huko kuzimu
 
Hata Adolf Hitler watu bado wanaendelea kumkumbuka hadi leo hii. Hata Benito Mussolini watu bado wanaendelea kumkumbuka hadi leo hii. Kwa nini wewe unaona haifai sisi kuendelea kumkumbuka huyo mtu wako?
If it was true that the armed rogue group had his endorsement to exterminate or cripple the outspoken opposition esquire, then it was in the country's sovereignty and natural wealth interest reservations as opposed to what the critics are recklessly escalating.
 
Hii orodha kama ipo kweli, unafikiri ni wakati gani ilikuwa inaongezeka kwa kasi?
Na tusiseme yale yanayotupendeza tu.
Nini umelenga kwenye hili swali? Sipo hapa kutetea au kulinganisha yeyote. Nipo hapa kutetea upande unaonewa bila kujali nani kaonea
 
Kimsingi Lissu was/is a traitor! Sijui kwa nini nadhani anatumika na watu fulani.
 
Shida sio mikataba kuingiwa kimakosa ila shida ni jinsi tunavyovunja. Mfano ni kweli Acacia walikua wanatuibia madini maana walikua hawafanyi declaration ya kuwemo dhahabu au madini mengine kwenye "makinikia".

Lakini.... ukisema uvunje mkataba tu au kukamata makontena kesi inabadilka kutoka wizi wa makinikia hadi "expropriation "!!

So suluhisho ilikua ni kuvunja mikataba kwa kufuata kanuni zile zile wakati tunaingia kwa mikataba hiyo. Sio kutafuta shortcut ilihali ushahidi upo
 
Hata pumzika na kama watoto wake hawataugama kwaajiri ya baba yao wabeba dam baba yao alizo mwaga. Mzazi ukiwa na Negative energy unairithisha kwa kizazi chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…